KARASECO KWA ELIMU BORA
Uongozi wa shule ya sekondari karage chini ya usimamizi wa dayosisi ya karagwe.iliyopo km 12 kutoka mji wa wiliya ya karagwe(kayanga )na km 1kutoka barabara kuu inawatangazia nafasi za masomo ya pre form one kwa wanafunzi wa jinsia zote pia masomo kwanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.. Shule inamazingira tulivu na salama kwa kujenga elimu bora kwakijana....nyote mnakaribishwa ada zetu ninafuu.kwamawasiliano zaidi piga +255682148850... Mlete mwanao apate apate elimu bora